• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
      • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Afya

Idara za Afya.

Wilaya ya kisarawe ina Vituo vinavyotoa huduma za Afya 35, hospitali 1, vituo vya Afya 3  na zahanati 31,Tuna zahanati 3 ambazo zinafanyakazi kwa kusimamiwa na  wilaya (JWTZ ,KIBASILA   Na Maneromango KKKT.)

Hospitali ya Wilaya  Kisarawe  ina vitengo 10 navyo ni wagonjwa wa nje, wagonjwa wa ndani, idara ya uchunguzi(x-ray) na maabara, idara ya macho,idara ya uhasibu,idara ya dawa,idara ya utawala na idara ya Afya Ya uzazi na mtoto. kila kitengo kinakiongozi wake  ambaye ni  mjumbe kwenye timu ya uendeshaji ya hospitali.(HMT)

Hospitali ya Wilaya Kisarawe inatoa huduma katika Wilaya ya Kisarawe na maeneo jirani ya mkoa wa Dar es salaam kama vile pugu, chanika, Gongolamboto, Vingunguti na Buguruni.

Huduma zinazotolewa na hospitali ya wilaya  zimegawanyika katika makundi makuu mawili nayo ni :

  • Huduma ya wagonjwa wa nje .

  • Huduma ya wagonjwa wa ndani. 

HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA HOSPITALI YA WILAYA

Huduma zinazotolewa na hospitali ya wilaya ni

  • Huduma  ya Afya  ya   uzazi mama na mtoto.

  • Huduma ya magonjwa ya kuambukizwa.

  • Huduma ya magonjwa yasiyoambukizwa.

  • Huduma ya magonjwa ya macho.

  • Huduma ya magonjwa ya Akili.

  • Huduma ya upasuaji mkubwa na mdogo.

  • Huduma ya upimaji wa VVU na utoaji wa ushauri nasaha

  • Huduma za bima ya Afya (NHIF,CHF,NSSF)

  • Huduma ya uchunguzi wa kansa ya shingo ya kizazi, matiti na tezi dume.

  • Hospitali ina uwezo wa kuhudumia wagonjwa 150, kwa sasa hospitali ina vitanda 108.

Matangazo

  • KUCHUKUWA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI 2020 August 11, 2020
  • TAARIFA ZA MWENENDO WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE October 25, 2020
  • TAARIFA ZA MWENENDO WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE October 25, 2020
  • TAARIFA ZA MWENENDO WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE October 25, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MHE. JAFO ATEMBELEA UJENZI WA SEKONDARI YA KISARAWE ILIYOPO KATA YA KAZIMZUMBWI PAMOJA NA KUONGEA NA WATUMISHI KATIKA HALMASHAURI YA KISARAWE.

    December 28, 2020
  • KIKAO CHA KUCHAGUA WANAFUNZI WA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021.

    December 18, 2020
  • KIKAO KAZI KATI YA MKURUGENZI MTENDAJI ,MAAFISA ELIMU KATA,WATENDAJI KATA,MAAFISA TARAFA,WALIMU WAKUU, WAKUU WA SHULE KUJADILI CHANGAMOTO NA KUPANGA MIKAKATI YA KUBORESHA ELIMU KATIKA WILAYA KISARAWE.

    December 17, 2020
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAFANYA KIKAO KAZI CHA WADAU WA MAENDELEO.

    December 15, 2020
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu
  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa