• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
      • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Historia

  • Kisarawe  ni moja kati ya halmashauri tisa za mkoa wa Pwani.Imeanzishwa tarehe 1 Julai 1907.Wilaya ya Kisarawe inapakana na Wilaya ya Mkuranga kwa upande wa Kusini-mashariki na Wilaya ya Morogoro upande wa Magharibi.Mashariki-Kaskazini kuna Jiji la Dar es Salaam, Kaskazini Wilaya ya Kibaha na  Kusini  Wilaya ya Rufiji.


  • Wilaya ina eneo la ukubwa wa Kilomita za mraba 3535 na mita1000 juu ya usawa wa bahari.


  • Kiutawala Wilaya ya Kisarawe imegawanyika katika tarafa nne(4) ambazo ni Sungwi, Maneromango, Mzenga na Cholesamvula Wilaya ina jimbo moja la uchaguzi la Kisarawe.Jimbo hili kwa sasa linaongozwa na Mbunge wa kuchaguliwa Mhe. Selemani Jafo ambaye ni Waziri Ofisi ya Raisi TAMISEMI na Mhe. Zaynab Vulu mbunge Viti Maalumu. Kwa upande wa uwakilishi wa Wananchi,Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ina jumla ya Madiwani 25.


  • Wananchi wa Kisarawe wanajishughulisha katika kilimo,Ufugaji na uchimbaji wa madini.


  • Hali ya hewa ni ya  joto la wastani  wa nyuzi joto 29°C.  Mvua hunyesha  kwa misimu miwili ya   vuli  (kuanzia  Oktoba hadi Januari)  na masika kati ya Machi na Juni kwa mwaka.Hali ya hewa ni nzuri kwa kilimo na Ufugaji  wa mazao ya aina yote. Wastani wa mvua kwa mwaka ni mm 1,000.Pia kuna maeneo ya kutosha kwa ajili ya uwekezaji.

Matangazo

  • TAMASHA LA KISARAWE USHOROBA UPDATE February 03, 2021
  • KUITWA KWENYE USAILI MTENDAJI KATA NA KATIBU MAHSUSI TAR 18/02/2021 February 10, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI FEB 2021 February 10, 2021
  • MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) May 08, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • KIKAO KAZI CHA MHE. JOKATE U. MWEGELO KIJIJI CHA MARUI MNGWATA..

    February 23, 2021
  • KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2021/2022 KIASI CHA SHILINGI BILIONI 39.8

    February 17, 2021
  • DC JOKATE USO KWA USO NA BODI YA TANESCO.

    February 11, 2021
  • MHE. JAFO ATEMBELEA UJENZI WA SEKONDARI YA KISARAWE ILIYOPO KATA YA KAZIMZUMBWI PAMOJA NA KUONGEA NA WATUMISHI KATIKA HALMASHAURI YA KISARAWE.

    December 28, 2020
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu
  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa