Leseni zinatolewa kwa kukamilisha taratibu zote za kuwa na biashara. Baada ya hapo fika ofisi ya Afisa biashara atakupa gharama za leseni kulingana na ukubwa wa biashara yako ya kileo.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa