Ili kulipia ardhi fika kwa kiongozi wako wa kijiji/kata/kitongoji (Mtendaji) ili akupatie utaratibu kulingana na eneo lako.Malipo yantegemea na ukubwa wa ardhi/Eneo.