Bima ya Afya ya jamii (CHF) inapatikana katika kila kituo chetu cha afya kwa kulipia shilingi elfu kumi tu kwa mwaka. Ukishalipia utapatiwa huduma za kumwona Daktari na kupata baadhi ya vipimo bure
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa