Huduma hii inapatikana katika ofisi ya ardhi fika na nyaraka halali utapewa maelekezo kulingana na nyaraka zako.