• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
      • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

KISARAWE KINARA WA UFUGAJI NGOMBE WA NYAMA NANENANE 2019 TANZANIA

Posted on: August 8th, 2019

Maonyesho ya  NANENANE ya Mifugo yamemalizika  leo kitaifa mkoani  DODOMA kwa kutolewa wito kwa watanzania kufuga Ngombe wa kisasa wa nyama  ili kujiongezea kipato cha familia Pamoja na kuongeza pato la taifa kutokana na kulipa KodI Kwa Serikali,

 Akitoa wito huo katika maonyesho hayo Waziri mkuu wa Tanzania Mhe Kassimu Majaliwa  aliwataka watanzania kujiewekeza zaidi katika ufugaji huo wa ngombe wa kisasa kwani unatija kwa mazingira haya ya sasa na unamkomboa mtanzania dhidi ya umasikini ,

 “Ndugu zangu watanzia ufugaji wa kisasa unatija sana na mzuri kwa kuwa haukupelekei kuwa na mambo mengi maana unafuga kisasa na bora kabsa kuliko ule ufugaji wa kizamani ambao umepitwa na wakati ”,  alisema Majaliwa

 Aidha kwa upande mwengine wilaya ya kisarawe Imeibuka mshindi wa kwanza  katika kundi la ugugaji ngombe wa kisasa wa nyama kikanda na kitaifa kwa mwaka huu 2019 na Kutunukiwa hati ya ushindi wa kwanza Kitaifa kundi la Parade Ngombe wa nyama wafugaji wakubwa na taasisi kwenye sherehe hizo zilizofanyika Dodoma.

Matangazo

  • KUCHUKUWA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI 2020 August 11, 2020
  • TAARIFA ZA MWENENDO WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE October 25, 2020
  • TAARIFA ZA MWENENDO WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE October 25, 2020
  • TAARIFA ZA MWENENDO WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE October 25, 2020
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MHE. JAFO ATEMBELEA UJENZI WA SEKONDARI YA KISARAWE ILIYOPO KATA YA KAZIMZUMBWI PAMOJA NA KUONGEA NA WATUMISHI KATIKA HALMASHAURI YA KISARAWE.

    December 28, 2020
  • KIKAO CHA KUCHAGUA WANAFUNZI WA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021.

    December 18, 2020
  • KIKAO KAZI KATI YA MKURUGENZI MTENDAJI ,MAAFISA ELIMU KATA,WATENDAJI KATA,MAAFISA TARAFA,WALIMU WAKUU, WAKUU WA SHULE KUJADILI CHANGAMOTO NA KUPANGA MIKAKATI YA KUBORESHA ELIMU KATIKA WILAYA KISARAWE.

    December 17, 2020
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YAFANYA KIKAO KAZI CHA WADAU WA MAENDELEO.

    December 15, 2020
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu
  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa