Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Mhe:Hamisi Abdallah na Mkurugenzi Mtendaji(W) Ndg,Mussa L. Gama leo tarehe 08/09/2017 wametia saini mikataba yenye thamani ya Tsh 69,084,000/= kwa mwaka wa fedha 2017/18 kwa ajili ya kazi za usafi.
Aidha,kikundi cha UMAKI na Nguvu ni Mtaji ni vikundi vidogovidogo vya wajasilia mali toka Kisarawe.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa