• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
      • TASAF
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Usafi na Mazingira

Idara inatumia Sheria mbalimbali zikiwemo Sheria ya Taifa Usimamizi wa Mazingira Na. 20 ya 2004, Sheria ndogo za Mamlaka ya mji mdogo Kisarawe ya Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya 2015 katika kusimamia majukumu yake. Aidha Idara inashikirikisha Jamii na Sekta binafsi katika kupanga, kusimamia na kutekeleza shughuli za Usafi na hifadhi ya Mazingira.

  • MISITU

Wilaya ina jumla ya Misitu 17 kati ya hiyo Misitu 4 inamilikiwa na Serikali Kuu na Misitu 9 inamilikiwa na Vijiji ambapo misitu 13 kwa ujumla wake ni ya hifadhi na Misitu 4 ni ya Uvunaji.

MISITU YA HIFADHI SERIKALI KUU

  • Kazimzumbwi – Hekta 4,862.2
  • Pugu – Hekta 2,410
  • Masanganya – Hekta 2,899
  • Ruvu Kusini – Hekta 34,720

       MISITU YA VIJIJI

  • Misitu ya Uvunaji ya Kijiji
  • Gwata – Kidunda – Hekta 1,911
  • Gwata – Mzenga – Hekta 75,200
  • Kihare – Marui – Hekta 60,000
  • Vikumburu – Hekta 57,000
  • Misitu ya hifadhi
  • Chakenge – Hekta 316
  • Kisanga – Hekta 101
  • Sofu – Hekta 815.75
  • Mafumbi – Hekta 1,182.76
  • Kisangire – Hekta 633.33
  • Msanga Sokoni – Hekta 238.7
  • Kidugalo – Hekta 105
  • Nyani – Hekta 1,006.5
  • Maharage – Gwata – Hekta 2,670
  • Kielelezo 1: Kazi ya kusafisha mipaka ya Msitu wa Maharage – Gwata Wilaya ya Kisarawe. 
  • Kielelezo 2: Msitu wa Maharage - Gwata baada ya kusafisha njia ya mpaka katika Wilaya ya Kisarawe.

  • Kielelezo 3: Mazingira ya Msitu wa hifadhi ya Kisangire Wilaya ya Kisarawe.

 

  • USAFI
  • Halmashauri inashirikisha Jamii na Taasisi binafsi katika shughuli za Usafi ambapo Jamii inachangia gharama za Usafirishaji wa taka ngumu kwenda Dampo, aidha Halmashauri imeweka wakala anayetoa huduma hiyo ya usafirishaji wa taka ngumu kwenda Dampo. Kwa sasa Wilaya inatumia Dampo lililopo Pugu Kinyamwezi kwa uteketezaji wa taka ngumu.
  • MADINI  
  • Kwa sasa Wilaya kwa kushirikiana na Vijiji imetenga maeneo yanayohusika na uchimbaji wa Madini ya Kaolin (dongo jasi) na madini ujenzi yakiwemo Mchanga, Kokoto, Mawe, Kifusi. Maeneo yaliyotengwa ni kata ya Msimbu kwa uchimbaji wa madini ya Mchanga na madini ya Kokoto, Mawe na Kifusi yanapatikana katika Kata yaVihingo Kitongoji cha Kibwemwenda na Kata ya Kiluvya kitongoji cha Kisopwa. Aidha katika Kata ya Kisarawe na Kazimzumbwi yanapatikana Madini ya Kaolini.
  • Wilaya kupitia idara inarasimisha shughuli  za uchimbaji katika maeneo yaliotengwa kwa shughuli hizo, Maeneo haya ni kama yalivyoainishwa katika kata zifuatazo :-
  •  
  • Boga – Kokoto na Mchanga
  • Chole  - Mchanga
  • KIsarawe –  Kaolin, Kokoto, Mawe na Kifusi
  • Kibuta - Mchanga
  • Kurui - Mchanga
  • Kazimzumbwi  –   Kaolin ,Kokoto, Mawe na Kifusi
  • Msanga - Mchanga
  • Msimbu – Mchanga
  • Vihingo – Kokoto , Mawe na Kifusi

             

Kielelezo 4: Machimbo ya Mawe na Kokoto yaliyoko Kimani katika Kata ya Kisarawe, Wilaya ya Kisarawe


Kielelezo 5: Machimbo ya Mawe na Kokoto yaliyoko Kibwemwenda katika Kata ya Vihingo Wilaya ya Kisarawe. 

Matangazo

  • TAMASHA LA KISARAWE USHOROBA UPDATE February 03, 2021
  • KUITWA KWENYE USAILI MTENDAJI KATA NA KATIBU MAHSUSI TAR 18/02/2021 February 10, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI FEB 2021 February 10, 2021
  • MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) May 08, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • KIKAO KAZI CHA MHE. JOKATE U. MWEGELO KIJIJI CHA MARUI MNGWATA..

    February 23, 2021
  • KISARAWE YAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2021/2022 KIASI CHA SHILINGI BILIONI 39.8

    February 17, 2021
  • DC JOKATE USO KWA USO NA BODI YA TANESCO.

    February 11, 2021
  • MHE. JAFO ATEMBELEA UJENZI WA SEKONDARI YA KISARAWE ILIYOPO KATA YA KAZIMZUMBWI PAMOJA NA KUONGEA NA WATUMISHI KATIKA HALMASHAURI YA KISARAWE.

    December 28, 2020
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu
  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa