Mwenge wa Uhuru utapokelewa tarehe 5/05/2022 Airport ukitokea Mafia na kukakabidhi Wilaya ya kibaha siku ya tarehe 6/05/2022.
Mkesha wa mwenge utakuwa Kiluvya.
Burudani nyingi zitakuwepo.
Karibuni wote.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa