Maelekezo Jinsi ya kufika Halmashari ya Wilaya ya Kisarawe kwa Waajiriwa wapya.
03 July 2021
Maelekezo kwa Waajiriwa wapya waliopangiwa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.
Jinsi ya Kufika Halmashauri ya Kisarawe Tokea Dar es salaam. Popote utakapotokea Ukifika Dar es salaam Panda Daladala hadi kufika Gongolamboto. Ukifika Gongolamboto Uliza Daladala za kwenda Kisarawe. Shuka mwisho wa basi kisha ulizia Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe.
Ukiwa na changamoto yoyote piga namba zifuatazo: +255 735 790 512 au 023 2401045.