• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN WILAYANI KISARAWE

23 October 2018

TANGAZO KWA UMMA

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE MHE JOKATE MWEGELO KWA PAMOJA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KISARAWE NDG. MUSSA GAMA WANAWATANGAZIA KUWA TAREHE 27,10,2018 SIKU YA JUMAMOSI  MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA  SULUHU HASSAN ATAKUA NA ZIARA YA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE MAKAMU WA RAIS ATAKAPOKUA HALMASHAURI YA KISARAWE ATAPOKEA TAARIFA ZA MRADI WA MAJI KISARAWE MJINI PAMOJA NA KUPOKEA TAARIFA NA KUKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KISARAWE MJINI,MANEROMANGO-MZENGA HADI MLANDIZI AIDHA MHE MAKAMU WA RAIS  ATAKAGUA   SHUGHULI ZA UZALISHAJI SARUJI KATIKA KIWANDA CHA LUCKY CEMENT .HALIKADHALIKA MAKAMU WA RAIS ATATEMBELEA TARAFA YA MANEROMANGO NA KUKAGUA KITUO CHA AFYA MANEROMANGO NA KUPOKEA VITANDA VYA KUJIFUNGULIA KUTOKA KWA WADAU (NMB) PAMOJA NA KUKAGUA SHUGHULI ZA WAJASIRIA MALI WALIOKOPESHWA NA FEDHA ZA ASILIMIA KUMI 10 % ZA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAUR,PIA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS ATATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI MADUGIKE ILIYOPANDISHWA HADHI NA KUPATA TAARIFA YA TOKOMEZA ZERO PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA WANAFUNZI.

KWA TAARIFA HII MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI WA WILAYA YA KISARAWE WANAWAOMBA WANANCHI WOTE KUJITOKEZA KWA WINGI KUMLAKI MAKAMU WA RAIS NA KUSIKILIZA HOTUBA NA MAELEKEZO ATAKAYOYATOA KUPITIA MKUTANO WA HADHARA UTAKAOFANYIKA MANEROMANGO SHULE YA MSINGI. WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA TUIJENGE KISARAWE MPYA.

IMETOLEWA NA OFISI

KITENGO CHA TEHAMA NA UHUSIANO KISARAWE

  

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa