• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

BARAZA LA MADIWANI KISARAWE LAPITISHA RASIMU YA BAJETI BIL 46 KWA MWAKA 2025/26

Posted on: January 31st, 2025

BARAZA LA MADIWANI KISARAWE LAPITISHA RASIMU YA BAJETI BIL 46 KWA MWAKA 2025/26


KISARAWE

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe  limejadili na kupitisha rasimu ya bajeti ya bilioni 46 kwa  mwaka wa fedha 2025/2026


Awali akisoma mapendekezo ya rasimu hiyo kwenye  kikao cha baraza la Madiwani kwa niaba ya Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Afisa Mipango Ndg David Moshi amesema bilioni 5.2 ya bajeti hiyo ni fedha ya Mapato ya ndani ya Halmashauri.

Aidha akizungumza mara baada ya baraza la Madiwani kujadili na kupitisha rasimu hiyo ya bajeti  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mh. Zuberi Juma Kizwezwe  amesema asilimia 40 ya fedha kwenye bajeti hiyo zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo na asilia 60 matumizi ya kawaida kwa mapato ya ndani.


Pamoja na bajeti hii kugusa kila sekta, baadhi ya Madiwani wameeleza vipaumbele vinavyopaswa kuangaliwa kwa jicho la kipekee kwenye maeneo yao ambapo Diwani  wa kata ya Kazimzubwi Mh. Adam Ng'imba amegusia kipaumbele cha ujenzi wa zahanati ya kifuru  katika kata hiyo, huku Diwani wa kata ya Maneromango Mh. Hamis Dikupatile akizungumzia fedha za ukarabati ukumbi wa mikutano na Sherehe nyengine Katika kuboresha Mamlaka ya Mji mdogo Kisarawe.


Nae Diwani wa kata ya Marumbo Mhe Angalieni Mpendu alisisitiza kwa Baraza Hilo kuwa na Mpango wa kuendeleza Mji mdogo hasa kupima vijiji Ardhi ili kuepuka migogoro ya Ardhi pamoja na Halmashauri ya Wilaya Kisarawe kupata fedha za Ardhi iliyopimwa ,


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Petro Magoti Mh. ameendelea kusisitiza usimamizi wa Miradi ya Maendeleo huku akisikitishwa na baadhi ya miradi kuchelewa kukamilika ambapo Serikali ya awamu ya sita ya Rais SAMIA imeleta fedha zote kwa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Katika miradi ya Elimu awali Msingi na Sekondari,


Kwa upande mwengine Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya Kisarawe KOMRED Halfani Sika alisisitiza kwa madiwani kusimamia miradi vijijini ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Katika maeneo Yao

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MAFUNZO YA MFUMO ANUANI ZA MAKAZI KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA

    July 07, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA E-UTENDAJI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE

    July 07, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI

    June 28, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI

    June 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa