Mkurugenzi mkuu TRC MASANJA KUNGU KADOGOSA na Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Gilead John Teri wamefanya ziara pamoja na kukutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh.Petro Magoti na kujadili mambo mambalimbali ikiwemo uwezekano wa uwekezaji na kufungua fursa za usafirishaji wa Mizigo kupitia SGR pia wamejadili uwezekano kujengwa kituo kidogo cha usafirishaji Mizigo katika eneo lilotengwa kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda,visegese Industrial park iliyopo kata ya KAZIMZUMBWI
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa