• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

DC NYANGASA AHAMASISHA MAENDELEO YA JAMII KATA YA KISARAWE KIMANI

Posted on: March 16th, 2024

*"DC NYANGASA AHAMASISHA MAENDELEO YA JAMII KATA YA KISARAWE KIMANI*


KISARAWE PWANI


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, mheshimiwa MHE FATMA NYANGASA akiwa ameambata na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe , na baadhi ya wataalamu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi,RAWASA, TANESCO na TARURA, amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kata ya Kisarawe kwenye kitongoji Cha Kimani kwa lengo la kusikiliza kero zao na kuzijibu.


Alipokuwa akizungumza kwenye mkutano huo tarehe 15.03.2024, MHE FATMA amewataka wananchi kuwa huru kuelezea changamoto zao kwake pamoja na kuwapatia salamu za DKT SAMIA SULUHU HASSAN Kwa Kisarawe,



Pia, amewataka wananchi wa Kimani kujitolea Zaidi Katika shughuli za Maendeleo ya Jamii hasa shule, zahanati nk kwa kutoa maeneo Yao maana Serikali ya Kijiji hawana,


*"Kwa upande anaetaka kutoa Eneo la Maendeleo kama shule na zahanati amewataka wafuate  kwa kuzingatia utaratibu wanaoelekezwa na maafisa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe na  ambaye hatafuata utaratibu basi afuate*" alisisitiza MHE FATMA NYANGASA



Aidha, MHE FATMA *"amewataka wazazi ambao watoto zao walifaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka huu, lakini mpaka sasa hawajawapeleka shule huenda kwa sababu wazazi wameshindwa kuwapatia mahitaji kama vile sare za shule,wahakikishe wanawapeleka shuleni watoto hao kwani Rais Samia anajitahidi sana kujenga shule na vyumba vya madarasa, na hakuna mtoto ambaye atafukuzwa shule kwa sababu ya kutokuwa na sare.*"

Mwisho, MHE FATMA NYANGASA *amewataka wazazi kushirikiana na walimu katika malezi ya watoto wao ili kuwalinda na kuepuka matendo mabaya  dhidi ya watoto kama vile ukatili wa kijinsia  na unyanyasaji*.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa