• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

KISARAWE WAFUNGUA MAFUNZO MAALUM NGAZI YA VIJIJI YANAYOLENGA NAMNA YA KUSIMAMIA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Posted on: February 10th, 2025

KISARAWE WAFUNGUA MAFUNZO MAALUM NGAZI YA VIJIJI YANAYOLENGA NAMNA YA KUSIMAMIA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

KISARAWE.

Wasimamizi Wasaidizi wa Uandikishaji wa Daftari la kudumu la mpiga Kura ngazi ya Vijiji  Halmashauri ya Kisarawe  leo tarehe *10/02/2025* wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga Kutoa mwongozo wa namna ya kusimamia Shughuli za Uandikishaji wa Daftari la kudumu la Uchaguzi Mkuu,


Akifungua mafunzo hayo ambayo yamefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Minaki iliyopo kata ya Kisarawe   Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya  Bi.Beatrice R Dominic amesema kwamba wamekutana hapo ili kupeana miongozo mbalimbali itakayo wawezesha kusimamia kwa uadilifu Uandikishaji wa Daftari la kudumu la mpiga.


"Uandikishaji huu  kinachotakiwa ni kusimamia vizuri taratibu zote za Uandikishaji wa Daftari la kudumu la mpiga Kura kwa kuzingatia 4R za mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwaiyo leo tunawapitisha kwenye mada mbalimbali ili mkajue pindi mkipata matatizo muweze kukabiliana  nazo Kupitia haya mafunzo, "alisema Dominic


Hata hivyo Dominic  ameendelea kuwasisitiza washiriki hao kila mmoja kwa nafasi yake awajibike kwenye eneo lake ipasavyo kwa kuzingatia maelekezo na miongozo waliyopatiwa ili waweze kufanikisha zoezi hilo.


Mafunzo hayo pia yameenda sambamba na uapishwaji kwa washiriki hao ambapo wamekula kiapo Cha uaminifu na utunzaji Siri, pamoja na kiapo cha utii na uadilifu,


Zoezi hili la Uandikishaji wa Daftari la kudumu la mpiga Kura Kisarawe kinatarajiwa kuanza Tarehe *13/02/2025 na kumalizika Tarehe 19/02/2025* Kwa kata zote 17 za Jimbo la Kisarawe


Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni *Kujiandikisha kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Maendeleo*

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa