LIGI YA JAFO CUP HATUA YA NUSU HADI FAINALI
Kisarawe,Pwani
Matukio mbalimbali ya Picha wakati wa Press Conference Baina ya Kamati ya JAFO CUP na Wandishi wa habari Katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Leo Ambapo NDG ALLY MKOMWA alifafanua utaratibu utakaotumika wa LIGI itakavyoendeshwa Katika Wilaya Kisarawe Pia Aliwataka Wananchi wa Kisarawe kujitokeza kwa wingi Katika viwanja vya Tarafa za Maneromango, Cholesamvula, Mzenga na Sungwi .
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa