*MATUKIO MUHIMU*
Leo 02/08/2025 katika Banda la Halmashauri ya wilaya Kisarawe limetembelewa na Mkuu wa Wilaya Mhe PETRO MAGOTI, Sambamba na Katibu Tawala, Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya Kisarawe,Wakuu wa Idara na Vitengo mbalimbali pamoja na wadau mbalimbali kujionea shughuli za Kilimo na ufugaji KISARAWE.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa