• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE BIBI SABRA CHARLES MWANKENJA AMEFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU YA ARO KATA ASISITIZA UADILIFU NA USAFI

Posted on: August 7th, 2025

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISARAWE BIBI SABRA CHARLES MWANKENJA AMEFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU YA ARO KATA ASISITIZA UADILIFU NA USAFI


Leo tarehe 06 Agosti, 2025

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kisarawe ndg Sabra Charles Mwankenja amefunga Mafunzo ya siku tatu kwa  Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata 34 (ARO KATA) wa Kata 17 zilizopo jimbo la Kisarawe Wilaya Kisarawe,

Akizungumza wakati wa kufunga amewasisitiza Wasimamizi Hawa ngazi ya Kata kusimamia Sheria na taratibu kwani zoezi hili la  kupiga kura ni Msingi wa Haki ya Kila mmoja.


aidha amewasihi Maafisa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata zote 34 kuzingatia Viapo walivyo apa pamoja na maelekezo yanayotolewa,


"Nina uhakika mtakwenda kutimiza wajibu Kwa kufuata Yale yote mazuri ambayo mmevuna hapa kwenye mafunzo   mliopata katika kufanikisha zoezi la kupiga Kura." Amesema   Mwankenja

Semina hii imefanyika Kwenye  Ukumbi wa Halmashauri ya Kisarawe

Zoezi hili litafanyika  kwa mujibu wa sheria, na kuratibiwa na kusimamiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kauli mbiu ya zoezi hili ni

 "Kura Yako Haki Yako Jitokeze Kupiga Kura"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA МКАТАBA KWA WAKUSANYA MAPATO July 08, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • KIKAO CHA WARSHA YA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WATOTO WALIOKATISHA MASOMO WILAYA YA KISARAWE MWAKA 2025

    August 29, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • WAZIRI DKT JAFO AFUNGA MTAA AKICHUKUA FOMU YA INEC JIMBO LA KISARAWE AMUOMBEA KURA DKT SAMIA MADIWANI 17 KISARAWE

    August 24, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KISARAWE, PETRO MAGOTI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA HOMBOZA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI

    August 22, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa