• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

TUTAWATUMIKIA WANANCHI KAMA ILANI YETU INAVYOTUELEKEZA MADIWANI KISARAWE

Posted on: December 3rd, 2025

*TUTAWATUMIKIA WANANCHI KAMA ILANI YETU INAVYOTUELEKEZA MADIWANI KISARAWE*


KISARAWE PWANI. Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mhe. Aidan Kitale amewaasa Madiwani na watalamu wa Halmashauri kufanya kazi kwa weledi na bidii katika kuwatumikia wananchi wa Kisarawe ikiwa ni pamoja na kusimamia miradi ya maendeleo sambamba na kutatua kero mbalimbali za Wanakisarawe



Kauli hiyo ameitoa leo tarehe 03/12/2025 wakati wa kikao cha kwanza cha baraza la madiwani kwa mwaka 2025/2026 kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,


“Nitoe rai kwa wataalamu wote na waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe kufanya kazi kwa bidii bila kulegalega huku mkisimamia misingi ya utumishi wa umma kwa kufanya hivyo tutakuwa tunawatendea haki wananchi wetu wa Kisarawe “. Amesema Mhe.Kitale


Aidha Mhe. Kitale na baraza lake ameahidi kuboresha huduma mbalimbali za kijamii ikiwa ni pamoja na miundombinu ya afya , elimu , kilimo, na miundo ya barabara,


Akizungumza Mkuu wa Wilaya ndugu Petro Magoti amewataka waheshimiwa madiwani kwenda kufanya kazi kwani uchaguzi umeshapita kilichobaki na kwenda kufanya mikutano , kusikiliza na kutatua kero za Wananchi na serikali iko bega kwa bega kutoa ushirikiano.


Naye Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya wilaya Kisarawe Ndg Beatrice Dominic ametoa rai kwa madiwani kuwa watu wa kutoa huduma kwa wananchi wao lakini pia ameendelea kuwasisitiza watalamu wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe kutumia utalamu wao kuwahudumia wananchi Ili kuijenga Kisarawe kimaendeleo.


Aidha ametoa mrejesho kwa baraza la madiwani kwa yale mambo ambayo waliyaacha hayajakamilikwa kuwa kwa sasa yametekelezwa kwa asilimia kubwa sambamabana kuendelea kufanya vizuri katika kukusanya mapato.


Nae Makamu Mwenyekiti wa baraza la Madiwani MHE Mbegu Rwambo amesema kuwa jukumu kubwa ni kuendelea kukusanya mapato na kuhakikisha mapato hayo yanakwendenda kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku akitoa kwa Wanakisarawe kuendelea kuilinda Amani kwani pasipo Amani hakuna maendeleo yanaweza kufanyika hivyo wananchi wote waaswa kwendelea kuilinda na kuidumisha Amani.


*"Ndugu zangu tunayafanya haya kwasababu tunaamnai, sisi tuliopo hapa twendelea kulinda na kudumissha Amani, tukapeleke ujumbe kwa watu wengine kuidumisha Amani tukakemee kwa nguvu kubwa , tukatae na kujiepusha na uvunjifu wa Amani kwani bila kuwa na Amani yote tuliyo panga kuyafanya hayawezi kutimia pasipo kuwa na Amani “ amesema Mhe. Rwambo


Kikao cha kwanza cha baraza la madiwani kimeenda sambamba na kuapishwa kwa madiwani, kuchagua mwenyekiti na makam mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na kupokea taarifa ya utekeleza wa shughuli mbalimbali zilizotekelezwa kipindi ambacho madiwani hawakuwepo Kisarawe.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KAZI YA MUDA YA UCHAGUZI NA TAREHE ZA MAFUNZO October 16, 2025
  • MATUKIO MUHIMU YA UKAGUZI WA MBIO ZA MAGARI KITUO CHA KISARAWE KAZIMZUMBWI June 28, 2025
  • Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) June 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 July 02, 2025
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • TUNAWASHUKURU SANA WATUMISHI WA KISARAWE MNAVYOJITUMA KWA WANANCHI WETU -DKT JAFO

    December 15, 2025
  • TUTAWATUMIKIA WANANCHI KAMA ILANI YETU INAVYOTUELEKEZA MADIWANI KISARAWE

    December 03, 2025
  • WATUMISHI WAPYA WAPATA MAFUNZO ELEKEZI YA UTUMISHI WA UMMA KISARAWE

    September 26, 2025
  • MALARIA KISARAWE HAIKUBALIKI DC MAGOTI

    September 24, 2025
  • Tazama zote

Video

JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • toto togel
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • situs toto
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200