Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wamefanya ziara Wilayani Kahama kwa lengo la kujifunza Mambo mbali mbali ya kiutendaji.
Kupata picha mbali mbali fungua link za hapo chini
Ziara hii imefanyika mwezi septemba 2022.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa