Posted on: August 6th, 2018
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kisarawe Mheshimiwa Jokate Mwegelo amekutana na watumishi wa Wilaya ya Kisarawe kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.
Mkutano umefanyika siku ya jumatatu tarehe 6/08/2018...
Posted on: July 27th, 2018
Balozi wa Korea ndugu Song,Geumyoung akabidhi gari la wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya ya kisarawe. Makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya standi ya Dara dara wilayani kisarawe. Aki...
Posted on: July 20th, 2018
Shirika lisilo la serikali la FEED THE CHILDREN limeendelea kuwawezesha wananchi na wanafunzi wa Wilaya ya kisarawe katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii ambapo kwa sasa wamefanikiwa kuwawezesha w...