Posted on: May 27th, 2017
Naibu waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo atembelea vijana wa Mgambo wakiwa kwenye mazoezi ya kuupokea mwenge katika wilaya ya kisarawe. Mhe Naibu Waziri amewapongeza sana wanamgambo kwa moyo wao wa...
Posted on: May 26th, 2017
UMISETA ngazi ya Wilaya unafanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Minaki. MaandaliZI hayo kiwilaya yametembelewa na Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (MB). Pia Naibu waziri ametoa vif...
Posted on: May 25th, 2017
Hatimaye kile kilio cha muda mrefu cha wakulima wa zao la Mihogo cha kukosa mavuno stahiki kutokana na kutumia mbegu zisizo na ubora kimekwisha baada ya kupatikana kwa mbegu bora ya mhogo isiyoshambul...