Posted on: May 4th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Welle Ndikilo akiwa kwenye ziara ya kukagua shughuli za maendeleo Wilayani Kisarawe.
Mkuu wa mkoa alisisitiza watu wafanyekazi na kuhakikisha wananchi wa...
Posted on: April 20th, 2017
Ujenzi wa Barabara ya lami katika Wilaya ya Kisarawe waanza. Ujenzi kwa kiwango cha lami unatengemea kukamilika ndani ya muda mfupi. Zaidi ya 2 kilomita zitatengenezwa. Hatua hii itabadili sura ya mji...
Posted on: April 4th, 2017
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kisarawe Mhe. Hamisi Abdallah akitoa neno la shukrani kwa wafadhili 'BAPS CHARITIES" kwa ajili ya ukarabati wa chumba cha upasuaji na Wodi ya watoto katika Hospitali ya Ki...