Idara inatumia Sheria mbalimbali zikiwemo Sheria ya Taifa Usimamizi wa Mazingira Na. 20 ya 2004, Sheria ndogo za Mamlaka ya mji mdogo Kisarawe ya Usafi na Hifadhi ya Mazingira ya 2015 katika kusimamia majukumu yake. Aidha Idara inashikirikisha Jamii na Sekta binafsi katika kupanga, kusimamia na kutekeleza shughuli za Usafi na hifadhi ya Mazingira.
Wilaya ina jumla ya Misitu 17 kati ya hiyo Misitu 4 inamilikiwa na Serikali Kuu na Misitu 9 inamilikiwa na Vijiji ambapo misitu 13 kwa ujumla wake ni ya hifadhi na Misitu 4 ni ya Uvunaji.
MISITU YA HIFADHI SERIKALI KUU
MISITU YA VIJIJI
Kielelezo 4: Machimbo ya Mawe na Kokoto yaliyoko Kimani katika Kata ya Kisarawe, Wilaya ya Kisarawe
Kielelezo 5: Machimbo ya Mawe na Kokoto yaliyoko Kibwemwenda katika Kata ya Vihingo Wilaya ya Kisarawe.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa