Hotuba ya Mhe.Jafo Naibu Waziri OR TAMISEMI baada ya kufungua majengo yaliyokarabatiwa na BAPS CHARITIES.
BAPS CHARITIES ni shirika la kimarekani ambalo limetoa msaada wa kukarabati jengo la Upasuaji na wodi ya watoto katika Hospitali ya kisarawe. Pia wafadhili wanategemea kuendelea na ukarabati wa majengo mengine kulingana na fedha watakazopata.
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe.Happyness William akiwasisitiza waendesha Bodaboda kuhusu kuvaa vazi maalumu(Reflector) kwa ajili ya utambulisho wao.Vifaa hivi vimetolewa na LAPF
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa