Tuesday 28th, November 2023
@KisaraweDC
Na
Mwandishi Wetu
KisaraweDC.
Tarehe 24/06/2023 Watumishi na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe wamefanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kuhakisha Kisarawe inakuwa safi wakati wote.
Aidha kwa niaba ya Mkurugenzi Afisa Utumishi (W) Ndugu. Baptista Kihanza alisema,” Zoezi la usafi ni endelevu na ni jambo muhimu, usafi ni afya” Ndugu Kihanza aliwasisitiza wananchi na watumishi kuwa suala la usafi ni agizo la serikali, hivyo kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya usafi.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa