Matukio mbalimbali ya Picha ya Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya Kisarawe Ndg Beatrice R Dominic akiwa na wataalamu kutoka idara ya Utawala, Biashara, Mawasiliano serikalini na KUU wakati wa kuangalia mandalizi ya Mbio za Magari Kituo Kikuu Cha Kisarawe Kazimzumbwi leo 28/06/2025 yatakayofanyika Kesho 29/06/2025,
Mbio hizo zinatarajiwa kupita katika barabara ya Kazimzumbwi Maguruwe, Maguruwe kitanga, Kitanga Sungwi,Sungwi kisanga,Kisanga kola,kola Kazimzumbwi DCG.
Mashindano haya yanaratibiwa na Www.Rally of Tanzania.org kwa kushirikiana na wadau mbalimbali na Ofisi ya Mkuu wa wilaya Kisarawe na halmashauri ya wilaya Kisarawe.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa