Karibu kwenye tamasha ambalo litafanyika kuanzia tarehe 05 -03-2021 hadi 07-03-2021 katika wilaya ya kisarawe viwanja vya Chanzige.Lengo la Tamasha ni kukuza na kuendeleza uhifadhi wa Wanyama (pori) na viumbe Hai wote wanaopatikana Katika Hifadhi zetu za (misitu) na Wanyama (pori) hapa Tanzania.