MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE ANAWAJULISHA WANANCHI WOTE WA KISARAWE KUHUDHURIA MKUTANO WA HALMASHAURI ( BARAZA LA MADIWANI) TAREHE 27/10/2017 SIKU YA IJUMAA KUANZIA SAA 4 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE. WOTE MNAKARIBISHWA.
IMETOLEWA NA AFISA TEHAMA NA UHUSIANO (W)
KISARAWE
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa