HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE INATARAJIA KUUNDA NA KUZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE KIUCHUMI ILI KUWEZA KUWAKUTANISHA WANAWAKE KUJADILIANA KUHUSU FURSA,CHANGAMOTO NA JINSI YA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA BIASHARA NA SHUGHULI NYINGINE ZA KIUCHUMI
LENGO LA UUNDWAJI WA JUKWAA NI KUONGEZA UELEWA WA WANAWAKE KATIKA :
1.UCHUMI
2.UWEKEZAJI.
3.BIASHARA.
4.UPATIKANAJI WA MITAJI
5.SERA NA SHERIA ZA NCHI KIUCHUMI
6.JINSI YA KUJITEGEMEA KIUCHUMI
SHUGHULI HII ITAFANYIKA TAREHE 29/06/2017 KWENYE UKUMBI WA TAUSI PUB ILIYOPO NYUMA YA STENDI YA MABASI
‘’Ushiriki wa Mwanamke Kwenye Shughuli Za Kiuchumi ni Kichocheo Kizuri Cha Maendeleo Ya Viwanda Katika Wilaya Yetu’’
WOTE MNAKARIBISHWA
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa