Idara ya Ardhi na Maliasili ni mojawapo ya Idara za Halmashauri za Wilaya ya Kisarawe. Idara hii inaundwa na jumla ya visekta vidogo saba (7) chini ya sekta za Ardhi na Maliasili ambavyo ni: (i) Mipango Miji (ii) Usimamizi wa Ardhi (iii) Upimaji na Ramani (iv) Uthamini wa mali (v) Misitu (vi) Wanyamapori (vii) Utalii .
MAJUKUMU YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI
Kwa ujumla majukumu ya Idara ya Ardhi na Maliasili ni ya kutoa huduma za kitaalam na ushauri kwa wakazi wa eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, wananchi wengine wa Tanzania na wawekezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Majukumu hayo ni kama ifuatavyo:
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa