JINSI YA KUJIUNGA NA KISARAWE USHOROBA MARATHON
Habari!
Kujisajili na Marathon unatakiwa uwe umepakua app ya Nilipe katika Playstore/ App store
Ukishajiunga nayo ndo utaweza kulipia kwenye kategori ya Kisarawe Marathon tsh elfu 20
Code utakayoipata baada ya malipo tafadhali ihifadhi - utahitaji kwenda nayo katika kituo kilichokaribu nawe kati ya vituo vilivyopo ambavyo ni ; Mlimani city, KiSarawe au Kinondoni (VUNJA BEI) na baada ya kuionesha code yako katika kituo watakukabidhi Kit yako kwa ajili ya marathon,
Karibu sana
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa