AFISA UTUMISHI KIHANZA ASISITIZA MAFUNZO KWA WELEDI TASAF
Kisarawe Pwani.
Afisa utumishi na utawala Wilaya Kisarawe Ndg BAPTISTA KIHANZA leo 07.02.2024 amesisitiza kwa Maafisa Kilimo,ustawi na Maendeleo ya jamii kuwa na WELEDI
Akizungumza wakati wa Mafunzo ya stadi za msingi za kiuchumi kwa wawezeshaji ngazi ya Halmashauri yanayoanza leo Hadi 12.02.2024 kwa wananchi,
*Sisi leo tupo Hapa kesho mtaenda Katika maeneo yenu kwa ajili ya vitendo basi mkafanye uadilifu na ueledi alisisitiza Ndg BAPTISTA
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa