• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA KISARAWE LAAPISHWA RASMI NA KUPATA SAFU MPYA YA MWENYEKITI

Posted on: December 10th, 2020

Katika Halfa hiyo Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe Mwanana Msumi aliendesha zoezi la kuwaapisha Madiwani wa Baraza la Halmashauri ya Kisarawe pamoja na kuendesha zoezi la uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja makamu wake.

Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Zuberi Kizwezwe asema kwamba kipaumbele chake kikubwa ni kuhakikisha kwamba anashirikiana bega kwa bega  na  serikali ya awamu ya tano  katika kuboresha zaidi  upatikanaji wa huduma ya  afya pamoja kupeleka huduma ya maji katika maeno mbali mbali hususan ya vijijini.

Hayo ameyabainisha baada ya kumalizika  kwa halfa ya kuapishwa kwa madiwani wa Halmashauri hiyo ambayo ilienda sambamba na zoezi la uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti na makamu mwenyekiti ambapo amebainisha kwamba atahakikisha kwamba anashirikiana na madiwani wenzake katika kuwaletea maendeleo wananchi.

Matukio kwa njia ya Picha .DSC_2953.JPG

Aidha alisema kwamba lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba wananchi wanaondokana kabisa na changamoto ya kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kwenda kutafuta huduma ya afya pamoja na kutafuta huduma ya maji.

“Kwa kweli nashukuru Mungu nimeweza kuchaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mwyekitiwa wa halmashauri ya Kisarawe, na mimi vipaumbele vyangu ni kuhakikisha kuwa nashirikiana na wenzangu katika kuboresha sekta huduma ya afya pamoja na masuala mbali mbali ikiwemo  upatikanaji wa maji safi na salama,”alisema Mwenyekiti huyo.

Aidha aliongeza kuwa nia na madhumuni yake ni kuweka mipango madhubuti kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Kisarawe katika huduma mbali mbali za kijimii hivyo amewaomba madiwani wote ambao wamechaguliwa kuhakikisha kwamba wanatatua kero na  kusikiliza changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi.

Naye Makamu mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mohamed Lubondo alisema kwamba atahakikisha kwamba anashirikiana kwa hali na mali na madiwani wote waliochaguliwa katika baraza jipya lengo ikiwa ni kusikiliza kero za wananchi ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi na kuleta maendeleo chanya ya kimaendeleo.

Kwa uapande wake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Kisarawe Mussa Gama alisema kwamba madiwani wote ambao wameapishwa kwa mujibu wa taratibu na sheria wataanza mara moja kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi katika maeneo yao  mbali mbali ikiwemo kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi.

“Mimi kama  Mkurugenzi nimeweza  kuendesha zoezi la kuwasimamia madiwani  17 kutoka kata mbali mbali pamoja na madiwani wengine sita ambao ni viti maalumu, ambao wameweza kuapa kwa mujibu wa sheria na taratibu ambazo zimewekwa kwa lengo la kuweza kuanza utekelezaji wa majukumu yao ya kuwatumikia wananchi wa Wilaya ya Kisarawe.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe Mwanana Msumi ambaye alikuwa mgeni rsami katika halfa hiyo aliwawapongeza kwa dhati madiwani wote wa Chama cha mapinduzi CCM  ambao wameshinda kwa kindisndo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu  na kuwataka kuwa na ushirikiano katika kutekeleza ilani ya chama kwa manufaa ya wananchi katika kuwaletea maendeleo.

“Kikubwa ambacho ninawaomba madiwani wote ambao mmeweza kuchaguliwa kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni kuhakikisha kwamba mnatimiza wajibu wenu ipasavyo na kufanya kazi kwa bidii ikiwa nin utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi, pamoja na viongozi wapya wa halmashauri ambao wamechaguliwa katika nafasi ya Mwemyekiti na Makamu mwenyekiti wa halmashauri,”alisema Msumi.

JUMLA ya madiwani  23 kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wameweza kuapishwa ambapo kati yao madiwani 17 kutoka katika kata zao huku wengine sita ni madiwani wa viti maalumu ambapo pia wameweza kufanya uchaguzi na kuchagua nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Makamu wake.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa