Menejimenti ya halmashauri ya wilaya Kisarawe ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Kisarawe Ndugu Beatrice R.Dominic wamefanya majadiliano ya kupitia Mkataba wa ujenzi wa Kiwanda cha Korosho na Mkandarasi wa kujenga kiwanda hicho Mohamed Builders Company ili kuleta ufanisi katika ujenzi wa kiwanda hicho.Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kisarawe tarehe 10.07.2024
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa