Kisarawe-Pwani.
11/02/2021
Mhe. Jokate ambaye ni mkuu wa wilaya ya Kisarawe akutana na Bodi ya Tanesco .Kikao hicho kifupi kimefanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya kisarawe.Jokate aliwashukuru wajumbe wa Bodi kwa kutembelea Halmashauri ya wilaya ya kisarawe na kuwaelezea changamoto mbali mbali za wananchi wa kisarawe.Mwenyekiti wa Bodi Dr. ALexander Kyaruzi alizichukuwa changamoto hizo na kusema zitafanyiwa kazi.
Imetolewa na Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO-KISARAWE.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa