*DC KISARAWE AWASHUKURU BANKI YA NMB KWA KUWASAIDIA NA KUWAVUTIA WAWEKEZAJI KISARAWE*
Kisarawe Pwani.
Mkuu wa Wilaya Kisarawe MHE FATMA NYANGASA leo 01.11.2023 ameishukuru Banki ya NMB Kwa kukubali kuwasaidia na kuwasimamia wafanya biashara wakubwa na wadogo Kisarawe katika huduma mbalimbali na mikopo inayotolewa kwa wawezekazaji na wafanyabiashara hao ndani ya Kisarawe.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa