DC NYANGASA AFURAHISHWA NA USIMAMIZI WA MIRADI KIMANI NA MAKURUNGE
KISARAWE PWANI
Mkuu wa wilaya kisarawe MHE FATMA NYANGASA Pamoja na Wataalamu kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe leo wamefanya shughuli ya ukaguzi wa miradi Katika shule ya Kimani na mradi makurunge,
Akizungumza wakati wa Ziara hiyo amesema Amefurahishwa na usimamizi wa mradi wa Elimu shule ya Sekondari Kimani pamoja na kumpongeza msimamizi wa TARURA kisarawe Katika mradi wa Daraja la makurunge kata ya kiluvya.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa