Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano na mazingira (Mb) Mhe Dkt Selemani Saidi Jafo akiwa ameambatana na kamati ya siasa pamoja na madiwani wametembelea vituo vya afya na zahanati zilizopo wilaya ya kisarawe kukabidhi vifaa tiba pamoja na kukagua maendeleo ya Sekta ya Afya Kisarawe.
Matukio mbalimbali katika picha.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa