• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

JAFO ‘MAT’ UZALENDO NA HURUMA MUHIMU KATIKA KUWATUMIKIA WATANZANIA

Posted on: March 4th, 2019

Katika kuadhimisha siku ya madaktari na Utabibu Duniani wito umetolewa kwa Madaktari wote nchini  kuwa na Uzalendo wa kuwahudumia wananchi hasa wa Daraja la Chini maana Utabibu ni Wito na  kazi yenye kuhitaji uzalendo na umakini wakati wote hasa kwa jamii kwarika zote za wazee,watoto na akina Mama

Akitoa wito huo kwa Madaktari  leo kisarawe  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe Selemani S.Jafo amewataka chama cha madaktari bingwa nchini ‘MAT’ kuwa na moyo huo wa uzalendo kwani jamii kubwa ya watanzania wanahitaji huduma yao ya kitalaamu muda wote katika kila siku

‘’Ndugu zangu madaktari leo ni siku adhimu sana hivyo katika kuenzi siku hiii natoa ombi kwenu kuwa na moyo huo huo wa kizalendo kwa serikali yenu hasa kuwahudumia wanachi ambao wanakabiliwa na shida nyingi ambazo kuwepo kwenu hapa leo kisarawe imekua nafuu sana kwao kwani huduma mnazozitoa ni nyingi na muhimu sana mimi nikiwa kiongozi wao nasema kwa niaba yao asanteni sana mwenyenzi mungu atawalipa ’’ alisema Jafo

 Aidha  Jafo alimwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya kisarawe kuhakikisha anawapatia Madaktari hao Vitendea kazi wanavyovihitaji kwa sasa, hasa wakati wa kuwapatia huduma wagonjwa wanaofika hospitalini hapo maana uwepo wa madaktari hao kisarawe ni Nadra sana hivyo ni muhimu kuwatatulia changamoto zilizopo kwa maslahi mapana ya wananchi wa kisarawe ,

‘’Mkurugenzi mtendaji wa kisarawe nimesikia changamoto za madaktari hawa nilipowatembelea wodini walikokua wanatoa huduma kwa wagonjwa waliofika naomba changamoto zao zitatue kwa wakati kwa maslahi mapana ya wanachi uwepo wa madaktari hawa wa MAT ni adimu sana kwetu kisarawe’’alisema Jafo

Naye Rais wa madaktari Tanzania Dk Elisha alisema anashukuru kwa niaba ya jopo la madaktari bingwa waliopo kisarawe na Tanzania ‘MAT’ kwa ujumla kuadhimisha siku hii muhimu kwao kwa kuongeza uzalendo wa kuwatibu watanzania wenzao hasa wenye hali ya chini kwani hujisikia fahari sana kurejesha utaalamu wao kwa watanzania wenzao ambao wanahitaji taaluma yao ya kuwatibu,  

Sisi MAT tupo hapa Pwani Kisarawe kama Sehemu yetu ya Kuwahudumia Watanzania wenzetu ili kuweza kutufikia kwa urahisi ukilinganisha na unyeti wa sisi kwa pamoja  timu yetu inatoa matibabu ya aina Mbalimbali ikiwemo ya Kansa ya Koo, Mkojo, Figo, Matatizo ya Uzazi kwa Mama na Baba,Sukari,Busha na Tezi Dume,

Jumla ya Wagonjwa 540 wameshahudumiwa mpaka sasa ila kila siku wananchi  Zaidi wanaongezeka katika kupata huduma  Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • Tangazo kwa Umma Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura February 08, 2025
  • MKITANO WA BARAZA LA MADIWANI April 28, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NIMEFURAHISHWA NA MMLIVYOJIPANGA KISARAWE CHATANDA NA ZAINABU

    May 08, 2025
  • OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS SERIKALI MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYA KISARAWE

    April 30, 2025
  • KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)

    April 30, 2025
  • KUVUNJWA KWA BARAZA LA MADIWANI KISARAWE UONGOZI WAJIVUNIA KUKAMILISHA MIRADI MBALIMBALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa