*KISARAWE YAFANYA UTOAJI ELIMU YA DOZI YA NYONGEZA YA CHANJO YA SINDANO YA POLIO(IPV2)*
matukio mbalimbali ya Picha Wakati wa kikao Cha Kamati ya afya Kisarawe kilichofanyika katika Ukumbi Mpya wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe,
Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ambae pia Ni Mkuu wa Wilaya Kisarawe Mhe Petro Magoti 29/04/2025.
matukio mbalimbali ya Picha Wakati wa kikao Cha Kamati ya afya Kisarawe.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa