Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe yaadhimisha siku ya Mtoto wa Kike leo tarehe 11/10/2017 katika viwanja vya standi ya Kisarawe. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. HAPPYNESS W SENEDA akiwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo. Wanafunzi toka shule mbali mbali na wadau mbali mbali waliudhuria katika maadhimisho hayo.
bonyeza hapa kwa maelezo zaidi.
Bofya hapa kupata matukio kwa njia ya Picha.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa