TGNP YALETA NEEMA KWA WANAWAKE KISARAWE.
Katibu wa TGNP (Tanzania Gender Networking Programme) Ndg Deogratius Temba alitoa ufafanuzi juu ya ushirikishwaji na umiliki sawa wa ardhi bila ubaguzi wa kijinsia pamoja na kutoa uwelewa ni jinsi gani , Wanawake wanapaswa kupata nafasi sawa katika umiliki wa Ardhi sambamba na kuweka mikakati ya pamoja kuhakikisha migogoro ya ardhi inaisha na jinsi ya ulipaji wa fidia kisheria
Picha zaidi bofya hapa
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa