Mkuu wa Wilaya Kisarawe MHE FATMA NYANGASA Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe NDG BEATRICE DOMINIC Kwa Pamoja wamewapongeza watumishi mbalimbali wa Halmashauri kwa matokeo ya Mwenge Mwaka 2023 ambapo kisarawe imekua ya 4 kwa Halmashauri za mkoa wa PWANI na Kanda 11na kitaifa 88 na kuwataka kuongeza juhudi Mwaka 2024 wapande Katika alama za Mwenge.
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa