Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dr Selemani Saidi Jafo amewataka watanzania kwa Ujumla kushiriki Zoezi la SENSA Pamoja na kutunza Mazingira,
Ameyasema hayo leo alipokua akifungua Tamasha la kuhamasisha SENSA Mkoa wa Pwani Pamoja na Vijana wa Club za Jogini Zaidi ya Mia moja za Dar Es Salaam na Pwani lililofanyika Kisarawe Katika viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige,
Binafsi nimefarijika Sana Tena Sana kwa Vijana na wananchi wote mliofika hapa kisarawe Chanzige Pwani Katika siku Hii ya kufungua Tamasha la Zoezi la Hamasa ya Wananchi TANZANIA kushiriki sensa Inayoanza 23.08.2022"
"SENSA ya mwaka huu ni ya Aina yake na watanzania bara na visiwani tumejipanga kweli kweli .
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa