TWCHA LIMELETA NEEMA KWA WAKULIMA WA KISARAWE NA WAMESHAFANYA MENGI NDANI YA WILAYA .
MALENGO YA TWCHA
Ipo Faida ndani ya shirika hili kwani Mkulima anakuwa na uhakika wa kuuza mazao yake.
Bonyeza hapa chini kupata maelezo zaidi.
UZINDUZI WA MRADI WA KILIMO HAI KISARWE.pdf
TAARIFA YA THE WINAMWANGA KWA HALMASHAURI YA KISARAWE.pdf
Mashine ambayo itakuwa ya kwanza kuwepo katika Halmashauri Kwa ajili ya kuandaa zao la mahindi(Maize processing Machine). Mashine hii itafungwa katika wilaya yetu ya Kisarawe. Bonyeza hapo chini kuiona.
THE WINAMWANGA 20TONE 24H MILLING.pdf
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa