• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kisarawe District Council
Kisarawe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazigira
      • Afya
    • Vitengo
      • Sheria
      • TEHAMA NA UHUSIANO
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji na Nyuki
    • Programu
      • TASAF
      • UKIMWI
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
      • Vivutio vya Mali kale
      • Vivutio vya Utamaduni
      • Vivutio vya Asili
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Teknolojia
    • Industries
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
      • Huduma za Jamii
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba za Viongozi Mbali mbali

Ubalozi Wa Shelisheli Wamwaga Neema Ya Maji Safi, Ujenzi Wa Madarasa Kisarawe

Posted on: November 16th, 2018


BAL0ZI wa shelisheli nchini Ms Maryvonne Pool ametoa jumla ya shilingi milioni moja na laki tano  1,500,000/ kwa ajili ya kusaidia makazi bora ya watoto Gracious Mkono na Precious Mkono waliozaliwa wakiwa wamegandana  na kufanyiwa upasuaji mkubwa na madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili . Akipokea msaaada huo kwa niaba ya wazazi,                                                                                                                                   

MKUU waWwilaya ya Kisarawe Mheshimiwa Joketi Mwegelo aliushukuru ubalozi huo kwa kazi na nia safi kabisa ya kuisaidia familia hiyo hasa kipindi hiki kigumu cha Malezi na makuzi ya watoto hao.

  Aidha ubalozi huo wa shelisheli umechangia ukarabati na ujenzi wa Madarasa mawili ya kisasa katika shule ya Msingi Marui Mipera iliyopo kata ya Marui Kijiji cha Marui Mipera  ambayo  yalibomoka kutokana na upepo.  Pia ubalozi wa Shelisheli umefanikisha uchimbaji wa kisima cha kisasa cha maji safi na salama kwa kijiji cha Kurui Kata ya Kurui katika shule ya msingi Kurui ambayo kwa muda mrefu wanafunzi wa eneo hilo wanasumbuliwa na shida ya maji safi na salama.

Balozi Ms Maryvonne ameahidi kuchangia mifuko ya saruji mia moja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya Msingi Kurui.Pia amesema ataendelea kuchangia  huduma za maendeleo kadiri ya shughuli na mahitaji yanapohitajika.

Matangazo

  • Wito Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari. February 07, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA-AWAMU YA PILI TAREHE 16-22 MEI 2025 May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NOVEMBA 2021 November 09, 2021
  • KUITWA KWENYE SEMINA YA ANUANI ZA MAKAZI March 30, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • JIMBO LA KISARAWE LATOA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGAKURA AWAMU YA PILI

    May 14, 2025
  • Tazama zote

Video

Kamati ya Fedha kutembelea Ujenzi wa Jengo Jipya la OPD Kisarawe Hospitali
Video

Viungio

  • Utalii wa asili
  • Bima ya Afya (CHF)
  • Historia ya Kisarawe
  • Matukio mbali mbali ya Picha
  • Ukarabati wa Jengo la Upasuaji.
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Kukutana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Maelekezo jinsi ya kutumia Mfumo wa FFARS
  • Orodha ya Madiwani pamoja na Namba za simu

Viungio linganishi

  • OFISI YA RAIS UTUMISHI
  • Baraza la Mitiani ya Taifa
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
  • PPRA
  • Ikulu
  • Ajira
  • Idara kuu ya Takwimu
  • Tovuti ya kupata nakara ya Mshahara
  • Tovuti ya Taifa
  • Bunge
  • Mfumo wa Ununuzi wa Umma NeST
  • Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Watumishi wa Umma (ESS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Kuhusu Sisi

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa