Ujenzi wa Barabara ya lami katika Wilaya ya Kisarawe waanza. Ujenzi kwa kiwango cha lami unatengemea kukamilika ndani ya muda mfupi. Zaidi ya 2 kilomita zitatengenezwa. Hatua hii itabadili sura ya mji wa Kisarawe.
Bonyeza hapa kupata picha zaidi
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa