UMISETA ngazi ya Wilaya unafanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Minaki. MaandaliZI hayo kiwilaya yametembelewa na Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (MB). Pia Naibu waziri ametoa vifaa vya michezo kwa shule zote za sekondari katika wilaya ya kisarawe. Jumla ya sekondari 22 zimepata zawadi ya vifaa hivyo.Vifaa hivi vimetolewa na kampuni ya COCA cOLA zikiwemo jezi na mipira.
Bonyeza hapa kupata matukio kwa njia ya picha
Hakimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Haki zote zimehifadhiwa